April 24, 2013
April 24, 2013
My boss Amunga! Siwez I kukusahau maishani mwangu kwa ukarimu wako na huruma zako kwangu na kwa staff wenzangu! Bado nakukumbuka sana Mzee wa cash money, Mzee wa mambo zenyu, Mzee wa Jambo. Hakuna m-ke km ww mwenye moyo wa ajabu usiyejua kubagua . MUNGU AKUPUMZISHE KWA AMANI PEPONI aaamin